Wednesday, December 17, 2014

On 8:26 AM by Unknown   No comments


Aisha Madinda - enzi za uhai wake.



       Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini



Aisha Madinda - enzi za uhai wake akitambulishwa na Ally Choki alipojiunga na Extra 

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.


0 comments:

Post a Comment