Thursday, December 25, 2014

On 12:40 AM by Unknown   No comments


Hatimaye mtumishi mchekeshaji masanja mkandamizaji apost picha ya yeye na mrembo kwenye mitandao ya kijamii na kisha  kuandika ujumbe wenye kudhihirisha kwamba mwanadada huyu ndo waubani wake, japo hakulianika hadharani jina la mrembo.
                PATA KUIONA PICHA HIYO NI SHIDAAAA!!!!!


mke mwema anatoka kwa bwana,tena kwa ufupi sana. Hongera za kutosha kwake mtumishi huyu.

0 comments:

Post a Comment