Friday, December 26, 2014

On 12:14 PM by Unknown   No comments


Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mrefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena.

Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho na kwa usiri mkubwa hatimae imedhihilika kuwa mapenzi hayana siri baada ya kuanza kutoa picha zao katika mitandao na kuonekana sehemu tofauti wakiwa wote, hasa ktk tuzo za Afrimama zilizofanyika South Africa.


Hii ni couple nzuri yenye kujua maisha hasa katika suala zima la kutafuta pesa licha ya kujituma kwa juhudi katika kazi zao.

Ikumbukwe Jokate ame sign mkataba usiokuwa na kikomo na kampuni ya wachina yenye thamani ya Tshs 8.2 billion

0 comments:

Post a Comment