Saturday, December 27, 2014

On 11:18 AM by Unknown   No comments


Baada ya kipindi kirefu cha kusumbuliwa na utumiaji wa madawa 

ya kulevya, msanii Shaban Katwila 'Q Chief' sasa anaweka wazi 

kuwa ameachana kabisa na matumizi ya MADAWA YA 

KULEVYA na yuko tayari kuwapa wapenzi wake buradani.


Nini unataka kumshauri msanii huyu?

0 comments:

Post a Comment