Saturday, December 27, 2014

On 4:44 AM by Unknown   No comments
Kesi ya Simone Gbagbo, mke wa rais wa zamani wa IVORY  COST, Laurent Gbagbo pamoja na watuhumiwa wenzake 82 walioshikilia nyadhifa mbalimbali katika utawala wa rais huyo itaanza kusikilizwa leo Ijumaa Desemba 26.
Simone Gbagbo na watuhumiwa wenzake 82 wanakabiliwa na mashitaka ya kuhatarisha usalama wa taifa. Ni kesi ya kwanza baada ya machafuko yaliyotokea mwaka 2010 inayojumuisha raia wasiokua wanajeshi walioshikilia nyadhifa mbalimbali katika utawala wa Laurent Gbagbo kuanza kusikilizwa. Watu hao wanatuhumiwa kwa uhalifu uliyotekelezwa baada ya uchaguzi uliyofanyka mwaka 2010.
Watuhumiwa hao watasikilizwa chini ya ulinzi mkali kwa mara ya kwanza na majaji, lakini raia hawatapewa nafasi ya kusikiliza kesi hiyo, kwani bado haijawekwa katika hatua ya kusikilizwa hadharani.

Kesi ya Simone Gbagbo, mkee wa rais wa zamani wa Côte d’Ivoire, Laurent Gbagbo pamoja na watuhumiwa wenzake 82 walioshikilia nyadhifa mbalimbali katika utawala wa rais huyo itaanza kusikilizwa leo Ijumaa Desemba 26.

Simone Gbagbo na watuhumiwa  wenzake 82 wanakabiliwa na mashitaka ya kuhatarisha usalama wa taifa. Ni kesi ya kwanza baada ya machafuko yaliyotokea mwaka 2010 inayojumuisha raia wasiokua wanajeshi walioshikilia nyadhifa mbalimbali katika utawala wa Laurent Gbagbo kuanza kusikilizwa. Watu hao wanatuhumiwa kwa uhalifu uliyotekelezwa baada ya uchaguzi uliyofanyka mwaka 2010.
Watuhumiwa hao watasikilizwa chini ya ulinzi mkali kwa mara ya kwanza na majaji, lakini raia hawatapewa nafasi ya kusikiliza kesi hiyo, kwani bado haijawekwa katika hatua ya kusikilizwa hadharani.

0 comments:

Post a Comment