Sunday, December 28, 2014
On 4:23 AM by Unknown No comments

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji
wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa
Tanzania.
Akizungumzia tukio hilo, Kaimu Mkuu wa wilaya hiyo, Aman
Mwenegoha, alisema Mwenyekiti huyo alikamatwa Desemba 22, mwaka huu na maofisa
Uhamiaji na kuhojiwa kwa muda na kugundulika sio raia wa Tanzania bali ni raia
wa Rwanda.
Mwenegoha alisema , awali tetesi za uraia wa Atanas, zilianza
wakati wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali wa Mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini,
baada ya Mwenyekiti huyo kufika kijiji cha Luganga.
Baada ya kufika kijijini hapo ambapo inadaiwa kuna Wanyarwanda
wengi aliwahamasisha kufanya vurugu kwa kuwa serikali haitaki kuwapa vibali vya
uraia.
Mwenegoha alisema baada ya mahojiano ya siku tatu, ndipo
ilibainika kuwa mwenyekiti huyo sio raia wa Tanzania bali wa Rwanda na
walimsafirisha hadi Rwanda, ambako alitambuliwa ni raia wa nchi hiyo na ana mke
na watoto wawili.
“Baada ya kumfikisha Rwanda wale maofisa walimhoji na baadaye
kumtambua kuwa ni raia wa nchi hiyo na wakati anakuja Tanzania walimpa
kitambulisho, zaidi ya miaka 15, iliyopita na wakamgundua kuwa anayo familia ya
mke na watoto wawili”, alisema
Mwenegoha.
Kwa upande wake, Atanas alisema alifika nchini mwaka 2000 na
kuishi katika Kitongoji cha Manzese kata ya Busoka wilayani Kahama, ambapo
mwaka 2003 alihamia kijiji cha Luganga wilayani Mbogwe na kuishi hapo hadi
alipokamatwa mwanzoni mwa wiki hii.
Kuhusu wahamiaji waliopo katika wilaya hiyo, Mwenegoha alisema
wahamiaji 14, ndio walioomba uraia wa Tanzania na kupewa baada ya kukana uraia
wa nchi zao na kwamba katika orodha hiyo yeye hayumo.
Hata hivyo Atanas anadaiwa baada ya kukamatwa na kurudishwa kwao
ameacha deni la Sh milioni 1.5 alizokopa kutoka kwa Katibu Mwenezi wa Chadema
(hivi sasa kahamia CCM) kwa ajili ya kufanya kampeni katika uchaguzi wa
Serikali za Mitaa.
Mwenegoha alisema pamoja na yote kunaonekana kuna uzembe
mkubwa uliofanywa na uhamiaji wilayani humo kwa kushindwa kumbaini mapema
kiongozi huyo ambapo alisema atakaa na kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya
hiyo ili kujadili suala hilo.
Hata hivyo Mwenegoha alisema kwa sasa wanajipanga kufanya
operesheni kubwa ya kuwasaka wahamiaji wote haramu ili sheria ichukue mkondo
wake ikiwemo kuwarudisha kwao watakaobainika.
Kwa upande wao Chadema walipoulizwa kuhusu tukio hilo
walisema hawana taarifa na kwamba watafuatilia kufahamu undani wake.
Akizungumza na mwandishi jana, Msemaji wa Chama hicho,
Tumaini Makene alisema, “Ndio kwanza unatupa taarifa hatufahamu tukio hilo, ila
tutafuatilia”, alisema Makene.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2014
(168)
-
▼
December
(168)
- BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MREMBO RAYUU AIBUKA ...
- Polisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Bia...
- Nimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausi...
- Samantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya...
- PHOTO’S: HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA DIAMOND NA KUN...
- SIMBA YAFUKUZA MAKOCHA
- DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE
- WAIMBA INJILI WANA NINI?
- MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO
- BASTOLA TISHIO DAR!
- VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE
- Bilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke ...
- Mvua Yaua Jijini Dar.....Mtoto Asombwa na Maji aki...
- Binti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo
- Mgombea urais atabiriwa kifo.....Yadaiwa Atafariki...
- Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mah...
- Hili ni Fundisho Kwa Wanaume Wanaopenda Kutongoza ...
- MAKAVU LIVE!!!:: UTAMU WA MUA UKIKUTANA NA KIFUNDO...
- Wajua Jinsi ya Kumdhibiti Mpenzi Anayepiga Mizinga?
- PICHA ZA UTAMU ZA DENTI WA CHUO KIKUU CHA UDOM ZAN...
- Bi dada... Utafanya nini? Mmeo Anatembea na binti ...
- Waziri Nyalandu atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania
- Kashfa ya Escrow ndo sababu kuu ya Anguko la CCM-W...
- Tibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Saka...
- Mwenyekiti wa CHADEMA Atimuliwa nchini kwa madai k...
- UCHAWI:BIBI KIZEE AKUTWA KAANGUKA NJE YA KANISA AS...
- TAZAMA JINSI SIKUKUU YA KRISMAS INAVYOENDELEA KATI...
- BAADA YA KIMYA KIREFU MSANII 'Q CHIEF' SASA KUACHA...
- LAANA YA SIKU : :VIJANA WAFANYA USHENZI KUPITILIZA
- LAANA..!!! BOFYA UONEE VIZURII DADA HUYU ALIVYOAMU...
- PICHA ZA UCHI ZA MSANII MAARUFU WA KIKE AKILIWA TI...
- ZAIDI YA LAANA: HUU NDIOUCHAFU ULIOFANYIKA JANA KW...
- RAIS OBAMA AITWA TUMBILI NA KOREA KASKAZINI!
- DAVINA:STEVE NYERERE NI MTU POA ILA ANA VIMATATIZO...
- DIAMOND PLATNUMZ HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAU...
- KAKA NA DADA WANASWA LAIVU WAKIFANYA MAPENZI,WAFAN...
- MAJANGA !!! MKE WA MTU AWEKA PICHA CHAFU KATIKA UK...
- WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
- Hizi Ndizo Sifa Za Mtu Anayefaa Kuwa Rais Ajaye ,W...
- Dunia Imeisha Tizama Picha Za Hawa Wadada Walizopo...
- DAVIDO ALA DENDA NA SHABIKI AKIWA STEJINI!!!
- DUNIA IMEKWISHA CHEKI PICHA YA MCHUMBA WA MTU AKIN...
- AFARIKI DUNIA BAAADA YA KULIPULIWA NA BOMU ALILOTA...
- HILI NI FUNDISHO KWA WAKE ZA MARAISI AFRIKA!!!HUYU...
- LIPUMBA NA ZITTO KABWE WAPANGA KUWASHA MOTO WA ESC...
- HIVI NDIVYO TIBAIJUKA ALIVYOTEMA CHECHE HUKO JIMBO...
- HIVI UNAFAHAMU KUWA LIPUMBA ALISHAWAHI KUWA MSAIDI...
- BUBU Afanyiwa Unyama wa Kutisha......Wanaume Watan...
- Hausiboi Aliyelawiti Mtoto wa Miaka 6 Ahukumiwa Ki...
- BAKWATA Yasisitiza kuwa Maamuzi ya Rais Kikwete ku...
- Matokeo Mabaya ya CCM Singida: Nyalandu Abebeshwa ...
- HII NI NOMA..!! JIONEE PICHA 15 ZA HUYU MZUNGU ALI...
- JINSI YA KUJIZUIA USIKOJOE MAPEMA NA HIVYO KUSHIND...
- Krismasi ni Escrow kila kona
- Vijana Watatu Wakamatwa Wakijaribu Kuiba Sanamu ya...
- Rais Kikwete atakiwa kuwachukulia hatua Mawaziri W...
- CCM yaongoza matokeo ya jumla serikali za mitaa
- Ukawa Mkilifanya Hili, 2015 Mnashinda kwa Zaidi ya...
- Ray C: Nina uhakika Alikiba Akipata Support ya Dia...
- Panapo Fuka Moshi Kuna Moto..Habari za Millard Ayo...
- Bifu la Davido na Wizkid Limeisha, La Ally Kiba na...
- Sserunkuma atupia mbili, aonyesha cheche Zenji
- SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIK...
- VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KO...
- Waziri Muhongo aanza Ziara ya Siku 6 Mkoani Mara k...
- MADAWA YA KULEVYA HATARI ZAIDI KWA WASANII
- KUNDI LILILOPATA PIGO ZAIDI 2012-14
- SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
- R.I.P WASANII WETU! KINACHOWAUA KWA KASI CHAJULIKANA
- FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
- BALAA LA KRISMASIMREMBO APOTEZA FAHAMU
- DUH!! JE WAJUA KILICHOMPATA MENEJA WA CLOUDS JUU Y...
- AIBU YA MWAKA!!!!!! TAZAMA ALICHOFANYIWA DADA HUYU...
- PICHA ZA WATU WAZIMA WAKINGONOKA HADHARANI HII NI ...
- TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA M...
- JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ........
- Diamond Aeleza Demu Aliemtungia Wimbo Wake Mpya Wa...
- Ona Mama Diamond Jinsi Anavoonekana Kuwa Chanzo Ch...
- FUMANIZI!!! PATA KUONA ALICHOFANYIWA DADA HUYU BAA...
- MJUE MKE MTARAJIWA WA MASANJA MKANDAMIZAJI!, IONE ...
- WANACHUO WANAOPIGA PICHA ZA UTUPU WAZIDI KUONGEZEK...
- Baadhi ya Picha za Wema na Van Vicker Wakiwa Katik...
- Nimeamini, Mabinti wa Kichaga Hawajui Mapenzi Hata...
- Wavulana Ma-handsome Hawana Lolote Kitandani..Kazi...
- Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra
- Rais Kikwete Akutana na Msanii Diamond Platnumz Ik...
- JOKATE: SIJAWAHI KUROGA ILI NIFANIKIWE
- WEWE TIBAIJUKA! JEMBE LISILOLIMA LINA FAIDA GANI?
- DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI!
- Wema Sepetu Apandishwa Kizimbani
- Mume Ajinyonga Ukweni baada ya Mkewe Kumkataa
- Baada ya Kupotea Kwa Muda Mrefu Agness Masogange A...
- Headmistress Caught Being Banged By Her Watchman I...
- Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea K...
- Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014
- Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass
- Diamond: Aliyenifundisha Kuongea Kiingereza ni Pen...
- CHADEMA Watoa Tahadhari kwa Rais kuhusu Kuwatetea ...
- MTOTO WA JACKIE CHAN ASHITAKIWA KWA DAWA ZA KULEVYA
- MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE ...
-
▼
December
(168)
0 comments:
Post a Comment