Thursday, December 25, 2014

On 12:52 AM by Unknown   No comments
mama mzazi wa msanii Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnum bi Sandra anaonekana kuwa chanzo cha mwanae kubadilisha wanawake kama nguo kutokana na yeye kama mzazi kufurahia tabia ya mwanaye pasipo ushauri, sidhani kama mama anashindwa kumshauri mwanae ambaye wanaelewana na kupendana kiasi kile. na alipoulizwa kuhusu hilo madai yake ni kwamba mwanaye anadhihirisha ni lijali



mama mzazi wa mr Ngororo Bi Sandra



mama diamond akiwa na mwanaye na wema sepetu


mama Diamond akiwa na Penny


mama Diamond akiwa na The Boss Lady mamaa Zari
hapo ndipo mama diamond anavochukuliwa kuwa chanzo cha mwanaye kubadilisha wanawake kiasi hicho au ni sifa kwa mama kuona mwanae anatembea na wanawake maarufu. achana na wale wasiojulikana si balaa

0 comments:

Post a Comment