Saturday, December 27, 2014

On 4:28 AM by Unknown   No comments


elimu ya msingi
1967-1977:swedish free mission primary school,ilolangulu tabora
1962-1966:l.a upper primary school sikonge tabora
elimu ya sekondari
1967-1970:tabora boys secondary school
1971-1972:pugu sekondary school
elimu ya chuo
1973-1977:chuo kikuu cha dsm
1978-1983:stanford university
shahada
ba{hon.economics}udsm 1976
ma{economics}udsm 1977
ma{economics}stanford university 1979
phd{economics}stanford university1983
uzoefu wa uongozi akiwa masomoni
1969-1970:mweka hazina umoja wa vijana tabora boys sech
1969-1970:katibu muslim discussion group tabora boys sech
1970-1971:mjumbe wa kamati ya umoja wa vijana pugu sech
1975-1976:mwenyekiti wa vijana udsm
1974-1975:mweka hazina muslim students association of udsm{msaud}
1978-1979:mwanzilishi wa rais wa kwanza wa stanford african association{sasa},rais wa kwanza na mwanzilishi wa umoja wa wa africa wanaosoma stanford university california marekani
kazi alizowahi kufanya
1976-1977:mkufunzi msaidizi{ta}
1977-1983:mhadhiri msaidizi
1983-1986:mhadhiri
1986-1989:mhadhiri mwandamizi
1989-1993:profesa mshiriki
1991-1995:msaidizi wa rais mambo ya uchumi  Hapa  tunaona   Lipumba  alishawahi  kuwa msaidizi  wa  rais  ndani   ya ccm maana  watu  hawajui  LIPUMBA katokea wapi.
1996-1998:senior reseach fellow,united nation university,world institute of economic research helsink finland
heshima za kitaaluma
1076-zawadi ya mwanafunzi bora,best student award,faculty of arts and social science udsm
1977-1983:rockefeller foundation fellowship
1986-1989:kellog international fellow in food system
1993-1995:full bright visiting economic professor
wasifu mkubwa ila kwa ufupi inatosha kumfahamu huyu mtu na anaongoza vichwa vingine 13 kama mwenyekiti wao wa jopo la wachaumi bingwa duniani mwafrika ni yeye na mama u.joy ogwu kutoka nigeria

0 comments:

Post a Comment