Thursday, December 25, 2014

On 12:59 AM by Unknown   No comments


nguli huyu mwenye visanga vingi  kwenye maisha yake mapenzi kila kuitwapo leo hatimaye safari hii afunguka kuhusu anaehusika na wimbo huo mpya unaofanya vizuri kwenye media tofauti tofauti hapa nchini pande zingine nyingi za afrika kwa ujumla, na aeleza jinsi alivoteswa na mapenzi tangu na hata kabla hajapata umaarufu mpaka leo lakini swala la mapenzi limekuwa mwiba kwa mr Ngororo 
kikubwa ameweka wazi kuwa wimbo huu unamuhusu sana wa zilipendwa wake maadam WEMA SEPETU ambaye mara kwa mara wamekuwa wakigombana na kurudiana lakini safari hii imeonesha ni kiasi gani mtoto wa mbagala DIAMOND PLATINUM imemuuma sana mpaka kuweka wazi hisia zake juu ya jambo hili.

0 comments:

Post a Comment