Tuesday, December 16, 2014

On 5:23 AM by Unknown in    No comments

Ni takribani miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked.

Ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo, nifanye nini kwa hali kama hii?

0 comments:

Post a Comment