Tuesday, December 16, 2014

On 5:34 AM by Unknown   No comments
cole Scherzinger
Huyu aliyekuwa mwanamziki wa kundi la Pussycat Doll Nicole alidanganya miaka yake mnamo mwaka 2008. Alisema ana miaka 28 kumbe ndio alikuwa anafikisha 30.
Nicole-Scherzinger-California

Nicki Minaj
Aliwahi kudanganya ana miaka 28 kumbe ndio anaelekea miaka 31; Hii ilijulikana baada ya kukamatwa na polisi baada ya kusababisha ajali ya gari.

Nicki-Minaj-

Eminen 
Mnamo Mwaka 1999 alidanganya ana miaka 24 wakati ukweli ilikuwa ni miaka 27.

eminem

Jennifer Lopez 
Kwa miaka mingi alikuwa akidanganya amezaliwa mwaka 1970, kumbe ukweli ni kwamba kazaliwa mwaka 1969. Hii iligundulika wakati alipokamatwa na polisi baada ya yeye na mchumba wake wakati huo Puff daddy kufanya fujo kwenye Kumbi za starehe.

jennifer-lopez

James Blunt
Huyu mwimbaji wa limbo maarufu wa “You are beautiful” , alidanganya umri wake kwa kuushusha kwa zaidi ya miaka mitatu. Hii ni kwamba wakati akiimba wimbo wa you are beautiful alikuwa anadanganya pia. 

James-Blunt

Nelly 
Nelly the rapper (mwenye memory za tembo) alichemka pale aliposema ana miaka 25 wakati cheti cha kuzaliwa kinaonesha ana miaka 28!!!!! Noma sana, kwani huko mbele hawafoji vyeti.

Nelly

asi wabongo tusipige saana kelele, watu kibao wanadanganya miaka ili kufanikisha malengo yao binafsi, mbona mademu kibao Bongo ni wazee ila akijipodoa utafikiri yupo Form 2 lakini mnavyomkomalia Miss Tz utafikiri , Oyaa imetosha tuendelee na mitikasi mingine kwa mfano Chidi Benzi na ujinga wake.

0 comments:

Post a Comment