Tuesday, December 16, 2014

On 5:45 AM by Unknown   No comments
Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Masama Blog tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri.



So kuweni Makini Wakina Dada zetu jamani

0 comments:

Post a Comment