Saturday, December 20, 2014

On 2:16 PM by Unknown   No comments


Jokate Mwegelo akisoma hotuba kwa waandishi wa habari(hawapo pichani).



Jokate akionyesha moja ya bidhaa inayozalishwa na kampuni hiyo.



Jokate akiwa kwenye pozi.

MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara  na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.

Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha  baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.Kujua mengi kuhusu kampuni hizo tembelea

0 comments:

Post a Comment