Friday, December 19, 2014

On 8:28 AM by Unknown   No comments


PRESHA inazidi kupanda kwa washiriki waliobaki katika tatu bora huku kila mmoja akitaka kuonekana kuwa anafaa kuwa Ijumaa Sexiest Bchelor.

Washiriki watatu (pichani) ndiyo walioingia fainali ambapo kilele kitakuwa ni Desemba 25, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar mshindi atapatikana.

0 comments:

Post a Comment