Saturday, December 20, 2014
On 1:39 PM by Unknown No comments

Kamati Kuu ya Chadema imesema tathmini yao kuhusu uchaguzi wa
Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.
Pia, kimewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa
Ghasia kujitathmini na kuchukua hatua za kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na
kushindwa kusimamia ipasavyo uchaguzi huo.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk
Willibrod Slaa wakati akitoa maazimio ya kikao cha siku moja cha kamati hiyo
kilichofanyika juzi kikiwa na ajenda moja ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
“Matatizo yaliyojitokeza yameanzia kwa Pinda na Ghasia, kwa
kutoa kanuni na miongozo ambayo imefanya vyama vya upinzani hususan wagombea wa
Ukawa kuenguliwa kwa mapingamizi yaliyokuwa na lengo la kuibeba CCM,”
“Katika maeneo ambayo upinzani ulishinda bado matokeo yalikuwa
ngumu kutangazwa na wakati mwingine damu ilimwagika, hii yote ni mtawala kutaka
kuendelea kung’ang’ania madaraka, hujuma za aina hii hatuwezi kuendelea
kuzikubali kuendelea kutokea katika nchi inayojinasibu kuwa ya kidemokrasia,” alisema Dk Slaa.
Aliongeza: “Tunalaani vikali na kutoa onyo kali kwa
watawala kushindwa kuheshimu demokrasia ambayo Watanzania wameamua kuitumia
kupitia sanduku la kura kwa kuwapiga na kuwaua...licha ya hujuma hizo, lakini
bado tumefanya vizuri na hasa katika majimbo ya CCM na wanayotoka mawaziri.”
Kuhusu maeneo ambayo uchaguzi umekuwa ukirudiwa baada ya
kuahirishwa kutokana na matatizo kadhaa, Dk Slaa aliwaomba Watanzania kutumia
fursa hiyo kufanya mabadiliko ya kiutawala.
“M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) linaanza kufanya kazi,
tunawashukuru Watanzania kwa kutuunga mkono hususan vyama vya Ukawa na
waendelee katika kufanya hivyo maeneo ambayo uchaguzi unarudiwa ili kutoa funzo
kwa CCM kwamba haina hati miliki ya nchi hii.
”
”
“Viongozi wetu waliochaguliwa ikitokea wanatuhumiwa kwa vitendo
vya rushwa kamwe chama hakitawavumilia viongozi hao na tutachukua hatua mara
moja bila kusita ikiwamo za ndani ya chama na hata kuwashtaki mahakamani,” alisema.
Katika matokeo ambayo wameyapata ya uchaguzi huo alisema,
wamefanikiwa kuongoza mamlaka za miji na miji midogo kutoka miwili ya Hai na
Karatu hadi 30 pande zote za nchi.
Baadhi ya mamlaka hizo na majimbo katika mabano ni Namanyere
(Nkasi),Bomang’ombe,Tunduma (Mbozi Magharibi), Katoro (Busanda), Chato (Chato),
Mbalizi (Mbeya Vijijini), Sengerema (Sengerema), Bunda (Bunda), Tarime
(Tarime), Kahama (Kahama), Kyela (Kyela), Vunjo (Vunjo) na Kayanga (Karangwe).
“Majimbo yote haya mengi ni ya CCM na ile dhana kwamba Chadema
ni chama cha ukanda mmoja sasa uchaguzi huu umedhihirisha kwamba Chadema ni
chama cha nchi nzima, kipo kila kona na hili halina ubishi tena,” alisema Dk. Slaa.
Wakili wa Chama hicho, John Mallya alisema kutokana na hujuma
hizo, wamefungua kesi katika mahakama ya Kinondoni kupinga matokeo ya mtaa wa
Kurangwa kata ya Goba jijini humo.
“Kesi hiyo ni namba 2 ya mwaka 2014 ya hati ya dharura tumeiomba
mahakama kuzuia kutangazwa kwa mshindi wa matokeo hayo na utangazwe ni batili
kutokana na ukiukwaji mbalimbali wa uchaguzi,” alisema Mallya.
Mkurugenzi wa Bunge na
Uratibu wa Chadema, John Mrema alisema, “Maeneo Chadema iliyofanya
vizuri ambayo ilikuwa ngome ya CCM hususan wanayotoka mawaziri wakurugenzi wake
ndiyo waliochukuliwa hatua sasa hii ni ukiukwaji wa demokrasia mbona
wameshindwa kwa maeneo ambayo CCM imefanya vizuri?”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2014
(168)
-
▼
December
(168)
- BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MREMBO RAYUU AIBUKA ...
- Polisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Bia...
- Nimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausi...
- Samantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya...
- PHOTO’S: HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA DIAMOND NA KUN...
- SIMBA YAFUKUZA MAKOCHA
- DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE
- WAIMBA INJILI WANA NINI?
- MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO
- BASTOLA TISHIO DAR!
- VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE
- Bilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke ...
- Mvua Yaua Jijini Dar.....Mtoto Asombwa na Maji aki...
- Binti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo
- Mgombea urais atabiriwa kifo.....Yadaiwa Atafariki...
- Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mah...
- Hili ni Fundisho Kwa Wanaume Wanaopenda Kutongoza ...
- MAKAVU LIVE!!!:: UTAMU WA MUA UKIKUTANA NA KIFUNDO...
- Wajua Jinsi ya Kumdhibiti Mpenzi Anayepiga Mizinga?
- PICHA ZA UTAMU ZA DENTI WA CHUO KIKUU CHA UDOM ZAN...
- Bi dada... Utafanya nini? Mmeo Anatembea na binti ...
- Waziri Nyalandu atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania
- Kashfa ya Escrow ndo sababu kuu ya Anguko la CCM-W...
- Tibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Saka...
- Mwenyekiti wa CHADEMA Atimuliwa nchini kwa madai k...
- UCHAWI:BIBI KIZEE AKUTWA KAANGUKA NJE YA KANISA AS...
- TAZAMA JINSI SIKUKUU YA KRISMAS INAVYOENDELEA KATI...
- BAADA YA KIMYA KIREFU MSANII 'Q CHIEF' SASA KUACHA...
- LAANA YA SIKU : :VIJANA WAFANYA USHENZI KUPITILIZA
- LAANA..!!! BOFYA UONEE VIZURII DADA HUYU ALIVYOAMU...
- PICHA ZA UCHI ZA MSANII MAARUFU WA KIKE AKILIWA TI...
- ZAIDI YA LAANA: HUU NDIOUCHAFU ULIOFANYIKA JANA KW...
- RAIS OBAMA AITWA TUMBILI NA KOREA KASKAZINI!
- DAVINA:STEVE NYERERE NI MTU POA ILA ANA VIMATATIZO...
- DIAMOND PLATNUMZ HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAU...
- KAKA NA DADA WANASWA LAIVU WAKIFANYA MAPENZI,WAFAN...
- MAJANGA !!! MKE WA MTU AWEKA PICHA CHAFU KATIKA UK...
- WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
- Hizi Ndizo Sifa Za Mtu Anayefaa Kuwa Rais Ajaye ,W...
- Dunia Imeisha Tizama Picha Za Hawa Wadada Walizopo...
- DAVIDO ALA DENDA NA SHABIKI AKIWA STEJINI!!!
- DUNIA IMEKWISHA CHEKI PICHA YA MCHUMBA WA MTU AKIN...
- AFARIKI DUNIA BAAADA YA KULIPULIWA NA BOMU ALILOTA...
- HILI NI FUNDISHO KWA WAKE ZA MARAISI AFRIKA!!!HUYU...
- LIPUMBA NA ZITTO KABWE WAPANGA KUWASHA MOTO WA ESC...
- HIVI NDIVYO TIBAIJUKA ALIVYOTEMA CHECHE HUKO JIMBO...
- HIVI UNAFAHAMU KUWA LIPUMBA ALISHAWAHI KUWA MSAIDI...
- BUBU Afanyiwa Unyama wa Kutisha......Wanaume Watan...
- Hausiboi Aliyelawiti Mtoto wa Miaka 6 Ahukumiwa Ki...
- BAKWATA Yasisitiza kuwa Maamuzi ya Rais Kikwete ku...
- Matokeo Mabaya ya CCM Singida: Nyalandu Abebeshwa ...
- HII NI NOMA..!! JIONEE PICHA 15 ZA HUYU MZUNGU ALI...
- JINSI YA KUJIZUIA USIKOJOE MAPEMA NA HIVYO KUSHIND...
- Krismasi ni Escrow kila kona
- Vijana Watatu Wakamatwa Wakijaribu Kuiba Sanamu ya...
- Rais Kikwete atakiwa kuwachukulia hatua Mawaziri W...
- CCM yaongoza matokeo ya jumla serikali za mitaa
- Ukawa Mkilifanya Hili, 2015 Mnashinda kwa Zaidi ya...
- Ray C: Nina uhakika Alikiba Akipata Support ya Dia...
- Panapo Fuka Moshi Kuna Moto..Habari za Millard Ayo...
- Bifu la Davido na Wizkid Limeisha, La Ally Kiba na...
- Sserunkuma atupia mbili, aonyesha cheche Zenji
- SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIK...
- VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KO...
- Waziri Muhongo aanza Ziara ya Siku 6 Mkoani Mara k...
- MADAWA YA KULEVYA HATARI ZAIDI KWA WASANII
- KUNDI LILILOPATA PIGO ZAIDI 2012-14
- SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
- R.I.P WASANII WETU! KINACHOWAUA KWA KASI CHAJULIKANA
- FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
- BALAA LA KRISMASIMREMBO APOTEZA FAHAMU
- DUH!! JE WAJUA KILICHOMPATA MENEJA WA CLOUDS JUU Y...
- AIBU YA MWAKA!!!!!! TAZAMA ALICHOFANYIWA DADA HUYU...
- PICHA ZA WATU WAZIMA WAKINGONOKA HADHARANI HII NI ...
- TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA M...
- JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ........
- Diamond Aeleza Demu Aliemtungia Wimbo Wake Mpya Wa...
- Ona Mama Diamond Jinsi Anavoonekana Kuwa Chanzo Ch...
- FUMANIZI!!! PATA KUONA ALICHOFANYIWA DADA HUYU BAA...
- MJUE MKE MTARAJIWA WA MASANJA MKANDAMIZAJI!, IONE ...
- WANACHUO WANAOPIGA PICHA ZA UTUPU WAZIDI KUONGEZEK...
- Baadhi ya Picha za Wema na Van Vicker Wakiwa Katik...
- Nimeamini, Mabinti wa Kichaga Hawajui Mapenzi Hata...
- Wavulana Ma-handsome Hawana Lolote Kitandani..Kazi...
- Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra
- Rais Kikwete Akutana na Msanii Diamond Platnumz Ik...
- JOKATE: SIJAWAHI KUROGA ILI NIFANIKIWE
- WEWE TIBAIJUKA! JEMBE LISILOLIMA LINA FAIDA GANI?
- DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI!
- Wema Sepetu Apandishwa Kizimbani
- Mume Ajinyonga Ukweni baada ya Mkewe Kumkataa
- Baada ya Kupotea Kwa Muda Mrefu Agness Masogange A...
- Headmistress Caught Being Banged By Her Watchman I...
- Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea K...
- Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014
- Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass
- Diamond: Aliyenifundisha Kuongea Kiingereza ni Pen...
- CHADEMA Watoa Tahadhari kwa Rais kuhusu Kuwatetea ...
- MTOTO WA JACKIE CHAN ASHITAKIWA KWA DAWA ZA KULEVYA
- MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE ...
-
▼
December
(168)
0 comments:
Post a Comment