Wednesday, December 31, 2014
On 4:31 AM by Unknown in Download No comments
Baada ya Mrembo Rayuu Ambaye ni Mwigizaji katika Tasnia ya Bongo Movies Kukaa Kimya kwa Muda Mrefu Mitandaoni kwa Kuweka Picha zenye Utata..Safari hii Amekuja na Mpya Ambapo ameweka picha akiwa na mwanaume kitandani kwenye mikao ya kimahaba huku mvulana huyo akiwa amejichora Tattoo ya Jina lake kuonyesha ni mtu wake wa karibu aka Mpenzi...
Angalia Picha Hizo Hapo chini na utoe Maoni yako:


On 4:20 AM by Unknown in Download No comments

Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata
watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu kwa
biashara hiyo.
Msako huo unatokana na malalamiko ya muda mrefu ya wakazi wa Jiji
la Tanga hususan wanaoishi mitaa ya Centrol na Ngamiani ambako biashara hiyo
inadaiwa kukithiri.
Akizungumza na Mwandishi hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Tanga, Freisser Kashai alisema wamepokea malalamiko hayo muda mrefu,
walishindwa kuchukua hatua mara moja kwa kuwa walikuwa wakiyafanyia
uchunguzi.
Alisema baada ya kumalizika kwa uchunguzi wao, wamejipanga kuwakamata wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Kamanda huyo alisema kuendelea kuiacha ishamiri inachangia kuporomosha maadili ndani ya jamii.
Alisema baada ya kumalizika kwa uchunguzi wao, wamejipanga kuwakamata wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Kamanda huyo alisema kuendelea kuiacha ishamiri inachangia kuporomosha maadili ndani ya jamii.
Kamanda Kashai alisema cha kusikitisha, biashara hiyo sasa
inafanywa mpaka na watoto wadogo wenye umri wa kwenda shule na wanafunzi
wanaosoma shule za bweni ambao wengi hutoroka nyakati za usiku na kwenda
kujiuza kwenye nyumba za starehe.
Alisema polisi wana taarifa zote za majengo na maeneo
kunakofanyika biashara hiyo. “Operesheni yetu itaanza muda wowote kuanzia sasa,
tutawakamata na kuwafikisha mahakamani,” alisema.
Akizungumzia usalama wa raia na mali zao katika sikukuu ya Mwaka
Mpya, Kamanda Kashai ametoa wito kwa wakazi wa mkoa huo kutoa taarifa kwa
polisi pale watakapobaini viashiria vya uhalifu katika maeneo yao.
“Kila mara tumekuwa na utaratibu wa kufanya mikutano na wananchi
mitaani kuwaelimisha namna ya kushirikiana na Polisi kuwafichua wahalifu, hii
imesaidia kupunguza matukio hayo kwa asilimia kubwa,” alisema Kashai.
On 4:17 AM by Unknown in Download No comments

Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa
pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au
kuchoka.
Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia.
Ukifuatilia labda mke wangu ana mtu sipewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani sijui. Ukimwuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule.
Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia .
Hali hii imenisumbua kwa muda sana .Ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi nyumbani na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI.
Binti akasema anaweza kunisaidia lakini kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe.
Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona mjinga ni kwamba huyu binti anatumika kuokoa jahazi la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi.
Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri.
Je wadau katika hali kama hii ambayo mke anakuwa namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa??
Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye hali yangu kabla hujazungumza chochote.
Ni mimi Mdau
On 4:17 AM by Unknown in Download No comments

Mapenzi /urafiki
wa Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu
kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua ya juu
zaidi.
Samantha ambaye bado yupo nchini amepokelewa kwa mikono miwili
na familia ya Idris.
“They’ve only been good to me and I can’t say thank you enough.
How people can love you this much but only no you a few weeks is beyond me,” ameandika Samantha kwenye picha akiwa na
familia ya Idris.
“God bless your beautiful
hearts . Thank you ! Thank you ! Thank you.”
Katika picha nyingine akiwa na Idris, mrembo huyo ameandika:And
there was light . When you trying to take a selfie and someone else is taking a
pic of you.#Lastnight#selfielife#baemuch#thisnigga#love#peace#
happiness#godfirst.”
happiness#godfirst.”
On 3:57 AM by Unknown in Download No comments
Tuesday, December 30, 2014
On 12:17 AM by Unknown in Download No comments
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri.
Aliyekuwa Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) akifuatilia mazoezi.
Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu
On 12:14 AM by Unknown No comments
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana.
On 12:10 AM by Unknown No comments
MENGI yameibuka kufuatia waimba Injili Bongo kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo ndoa zao kuvunjika, madai ya kuchepuka, kupata ujauzito nje ya ndoa na matumizi ya madawa ya kulevya, Uwazi limechimba na kuchimbua.
BADO JINAMIZI LA KUVUNJA NDOA LAWAANDAMA
Mpaka sasa, waimba Injili wanawake wameshakumbwa na mikasa mbalimbali lakini mpya kabisa ni madai ya hivi karibuni kwamba, ndoa ya mwimbaji mwingine, Kabula George imesambaratika.
Kabula George mwaka 2012 alitamba na Albamu ya Nitang’ara Tu! Inadaiwa hayuko kwa mumewe baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka nane!
Mpaka sasa, waimba Injili wanawake wameshakumbwa na mikasa mbalimbali lakini mpya kabisa ni madai ya hivi karibuni kwamba, ndoa ya mwimbaji mwingine, Kabula George imesambaratika.
Kabula George mwaka 2012 alitamba na Albamu ya Nitang’ara Tu! Inadaiwa hayuko kwa mumewe baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka nane!
JANET MREMA ANAUMWA
Huyu aliwahi kuripotiwa na Gazeti la Amani miezi miwili iliyopita kwamba, ndoa yake na mumewe, Jonas Mrema imesambaratika madai makubwa ni mume kutomwamini mkewe huyo na kudai alitoroshwa nyumbani na mchungaji mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyejulikana kwa jina moja la Emmanuel.
Huyu aliwahi kuripotiwa na Gazeti la Amani miezi miwili iliyopita kwamba, ndoa yake na mumewe, Jonas Mrema imesambaratika madai makubwa ni mume kutomwamini mkewe huyo na kudai alitoroshwa nyumbani na mchungaji mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyejulikana kwa jina moja la Emmanuel.
Habari mpya ni kwamba kwa sasa hali yake ni tete, anaumwa lakini wengi wanaamini ugonjwa wake unatokana na mawazo ya kuchanika kwa ndoa yake.Tayari mwanaume huyo ameshafungua kesi Mahakama ya Kinondoni, Dar akimlalamikia Mchungaji Emmanuel kumtoroshea mkewe. Anataka fidia ya pesa ambazo mahakama itaamua kama itaona ni sahihi.
BAHATI BUKUKU
Huyu ni mwimba Injili mkongwe Bongo. Ndoa yake na Daniel Basila ilivunjika mwaka 2005, mume alimtuhumu Bahati kutoroshwa nyumbani na mzungu mmoja ambaye hakumtaja jina.
Baadaye Bahati alikanusha, akasema aliamua kuondoka nyumbani kwa Daniel kutokana na manyanyaso mengi. Alishindwa kuvumilia. Mpaka sasa, Bahati hayuko kwenye ndoa.
Huyu ni mwimba Injili mkongwe Bongo. Ndoa yake na Daniel Basila ilivunjika mwaka 2005, mume alimtuhumu Bahati kutoroshwa nyumbani na mzungu mmoja ambaye hakumtaja jina.
Baadaye Bahati alikanusha, akasema aliamua kuondoka nyumbani kwa Daniel kutokana na manyanyaso mengi. Alishindwa kuvumilia. Mpaka sasa, Bahati hayuko kwenye ndoa.
NEEMA MWAIPOPO
Alipovuma sana na wimbo wa Sipati Picha alikuwa akijulikana kwa jina la Neema Mushi. Mumewe ndiye Mushi. Baadaye, ndoa yake ilivunjika, akarudia jina la ukoo wake, Mwaipopo. Akatoa albamu inaitwa Raha Jipe Mwenyewe.
Alipovuma sana na wimbo wa Sipati Picha alikuwa akijulikana kwa jina la Neema Mushi. Mumewe ndiye Mushi. Baadaye, ndoa yake ilivunjika, akarudia jina la ukoo wake, Mwaipopo. Akatoa albamu inaitwa Raha Jipe Mwenyewe.
ROSE MHANDO
Rose Mhando ndiyo anavyojulikana na wengi. Jina la baba yake ni Athuman. Familia yake yote ni ya Kiislam.
Rose Mhando ndiyo anavyojulikana na wengi. Jina la baba yake ni Athuman. Familia yake yote ni ya Kiislam.
Majanga yake makubwa ni kuzaa watoto watatu pasipokuwa na ndoa. Lakini kwa sasa ana mimba tena, ina maana ni ya mtoto wa nne! Ilishawahi kuandikwa kuwa, kila mtoto ana baba yake!
Lakini pia, Rose aliwahi kudaiwa kubwia ‘unga’ hali inayosemekana kumpotezea utendaji wa huduma.
Lakini pia, Rose aliwahi kudaiwa kubwia ‘unga’ hali inayosemekana kumpotezea utendaji wa huduma.
FLORA MBASHA
Huduma yake kwa sasa ni kama imesimama baada ya ndoa yake na mumewe, Emmanuel Mbasha kuparaganyika!Kwa sasa, Flora yuko mahakamani akimdai talaka mumewe huyo kwa madai kwamba, kwa kipindi chote cha ndoa yao, alikuwa mtu wa kupigwa mara kwa mara!
Huduma yake kwa sasa ni kama imesimama baada ya ndoa yake na mumewe, Emmanuel Mbasha kuparaganyika!Kwa sasa, Flora yuko mahakamani akimdai talaka mumewe huyo kwa madai kwamba, kwa kipindi chote cha ndoa yao, alikuwa mtu wa kupigwa mara kwa mara!
CHRISTINA SHUSHO!
Na yeye ni mwimba Injili maarufu. Kwa miaka ya hivi karibuni ni kama amezimika! Ilidaiwa naye ndoa yake ina misukosuko ya mara kwa mara. Uwazi liliwahi kumfuata nyumbani kwake, Tabata-Chang’ombe, Dar ili kuujua ukweli wa ndoa yake kukumbwa na upepo wa kisulisuli, msichana wa kazi aliyefungua geti alisema:
“Dada yupo kwenye kikao cha usuluhishi, kuna mchungaji kaja.”
Na yeye ni mwimba Injili maarufu. Kwa miaka ya hivi karibuni ni kama amezimika! Ilidaiwa naye ndoa yake ina misukosuko ya mara kwa mara. Uwazi liliwahi kumfuata nyumbani kwake, Tabata-Chang’ombe, Dar ili kuujua ukweli wa ndoa yake kukumbwa na upepo wa kisulisuli, msichana wa kazi aliyefungua geti alisema:
“Dada yupo kwenye kikao cha usuluhishi, kuna mchungaji kaja.”
Sarah Mvungi
Ni muimba Injili aliyetokea kwenye fani ya maigizo. ana watoto wawili, kila mmoja ana baba yake. Hana ndoa lakini anatoa huduma ya Neno la Mungu kwa njia ya uimbaji.
Ni muimba Injili aliyetokea kwenye fani ya maigizo. ana watoto wawili, kila mmoja ana baba yake. Hana ndoa lakini anatoa huduma ya Neno la Mungu kwa njia ya uimbaji.
JENNIFER MGENDI
Huyu kidogo Uwazi limepekua maisha yake na kubaini kwamba, yemejaa uadilifu. Ndoa yake haikuwahi kudaiwa kukumbwa na kimbunga cha kusambaratika wala kutengana.
Jennifer Mgendi.
Huyu kidogo Uwazi limepekua maisha yake na kubaini kwamba, yemejaa uadilifu. Ndoa yake haikuwahi kudaiwa kukumbwa na kimbunga cha kusambaratika wala kutengana.
MCHUNGAJI ATOA NENO
Mchungaji mmoja wa Kanisa la Evangelical Asemblies of God Tanzania (EAGT) ambaye hakupenda jina lake litajwe gazetini alisema:“Nawaomba hao waimbaji wa kike, hasa wanaodai talaka au walioshindwa kuvumilia maisha ya kwenye ndoa wasome maandiko, mbona yako wazi sana.
Mchungaji mmoja wa Kanisa la Evangelical Asemblies of God Tanzania (EAGT) ambaye hakupenda jina lake litajwe gazetini alisema:“Nawaomba hao waimbaji wa kike, hasa wanaodai talaka au walioshindwa kuvumilia maisha ya kwenye ndoa wasome maandiko, mbona yako wazi sana.
“Mimi natabiri kwamba, muziki wa Injili unaporomoka na utazidi kuporomoka kwani shetani amefanikiwa kuwashika waimbaji kwa kusambaratisha ndoa zao kwanza ili washindwe kutoa huduma ya kiroho, maana utahubirije Neno la Mungu wakati wewe linakushinda kulitekeleza?”
KUNA NINI KWENYE INJILI?
Ni swali la kujiuliza sana, ni kwa nini maisha ya waimba Injili, hususan wanawake yako hivi? Mtu anayetoa huduma ya kiroho anapofikia hatua ya kusema ‘ameshindwa kuvumilia’ inakuaje kwa asiyejua maandiko?
Ni swali la kujiuliza sana, ni kwa nini maisha ya waimba Injili, hususan wanawake yako hivi? Mtu anayetoa huduma ya kiroho anapofikia hatua ya kusema ‘ameshindwa kuvumilia’ inakuaje kwa asiyejua maandiko?
On 12:05 AM by Unknown No comments
Mama anayefahamika kwa jina la Sara Zoya akiwa na watoto wake, Imani (14) na Leila (5).
Mama mmoja, Sara Zoya mkazi wa Mabibo Makuburi, jijini Dar es Salaam amekimbilia polisi na kudai kuwa watoto wake walitekwa na ndugu yake kisha kupelekwa kusikojulikana baada ya kufukuzwa kwenye nyumba yao ya familia.
Sara alidai kuwa ndugu yao huyo aliyefanya kitendo hicho cha utekaji ni Hilda Zoya ambaye anadai aliwateka watoto Imani (14) na Leila (5).
Akizungumza na gazeti hili Sara alisema, alikuwa akiishi na mumewe na baada ya kuachika kwa mume wake aliamua kurudi kwao kwenye nyumba ya familia na watoto hao wawili. Aliendelea kufafanua:
“Sisi tulizaliwa watoto sita kwa baba na mama mmoja na mimi ndiye mtoto wa kwanza na wazazi wetu wote walishafariki dunia. Mimi nilipoachika niliwataarifu ndugu zangu kuwa nataka kurudi nyumbani kwetu Mabibo lakini baadhi yao wakanishauri niende nikakae Tabata Kisukuru kwenye nyumba ya mdogo wangu anayeishi Ulaya.
“Mimi sikupenda, nikakataa nikaenda kuishi kwetu, ilipofika Desemba 17 mwaka huu, ndugu yangu Rachel kutoka Ulaya aliyekuja likizo aliniomba nimsindikize kwa mjomba anayeishi Mbezi Beach huku nyuma mdogo wangu Hilda alihamisha vyombo vyote na kuwachukuwa watoto na kuwapeleka kusikojulikana.
“Niliporudi nyumbani nilikuta milango imefungwa na vitasa vimebadilishwa na kuwekwa mlinzi pia watoto wangu wawili sikuwakuta.
“Niliporudi nyumbani nilikuta milango imefungwa na vitasa vimebadilishwa na kuwekwa mlinzi pia watoto wangu wawili sikuwakuta.
“Nikaenda kwa mjumbe, mwenyekiti wa serikali za mitaa kuwaarifu na baada ya hapo nikaenda kutoa taarifa kwenye Kituo cha Polisi cha Mwongozo kilichopo External, wakaniambia nisubiri kwa muda wa saa 24 lakini sikuwaona wanangu na mama yao mdogo Hilda alikuwa hapatikani kwenye simu, ndipo nikaamua kurudi tena kituoni hapo na kufungua kesi kuhusu kutoonekana kwa watoto, vitu vyangu na mimi kukosa pa kulala.”
Sara amemfungulia kesi mdogo wake Hilda kwa jalada namba MWP/RB/1655/2014 UTEKAJI WA WATOTO NA WIZI hivyo anasakwa na polisi.Akifafanua zaidi mama huyo alisema: “Siku ya pili watoto walirudi wenyewe na walipohojiwa walidai walipelekwa Kinondoni kwa Manyanya na mama yao mdogo na kutelekezwa huko na aliwaachia shilingi elfu tano.
“Watoto walisema walipoamka asubuhi waliwauliza wapangaji wa nyumba hiyo wapi walipo na wakaelekezwa kuwa pale ni Kinondoni kwa Manyanya.”
Mtoto Imani alipoulizwa na gazeti hili alikiri kuchukuliwa na mama yao mdogo na kutelekezwa Kinondoni. “Asubuhi tuliwaomba wapangaji watuelekeze namna ya kufika stendi, tukapelekwa tukapanda basi mpaka Makumbusho kisha tukafika nyumbani, tukaelezwa kuwa mama alilala kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa.”
Sasa Sara anaomba msaada wa kisheria kwani alidai yeye pamoja na watoto wake hawana nguo, vyombo na sehemu ya kuishi baada ya kufanyiwa unyama huo na mdogo wake huyo na sasa wamefadhiliwa na mwenyekiti wa serikali za mtaa wanakoishi.
On 12:01 AM by Unknown No comments
KIWA imebakia siku moja kabla ya mwaka 2014 kumalizika, jiji la Dar es Salaam limejikuta likigubikwa na mauaji ya mara kwa mara, hasa ya kutumia silaha baada ya kubainika kuzagaa kwa bastola zilizo mikononi mwa watu waovu.
Madaraka.
Silaha hizo sasa zimekuwa kama simu za mikononi ambazo karibu kila mtu jijini Dar es Salaam anayo na hivyo kuwapa hofu kubwa wananchi ambao hawajui lini na wapi litatokea tukio la ujambazi, hasa kutokana na msongamano mkubwa wa watu.
Matukio mengi ya ujambazi yanayofanyika nyakati za mchana kweupe, yanafanywa na majambazi ambao wanatajwa kutumia pikipiki hasa aina ya Boxer, zinazoaminika kuwa na kasi kuliko aina nyingine na usafiri ambao hauwezi kukwama kwenye foleni.
Baadhi ya matukio yanayomaliza mwaka na kuzidisha hofu kwa watu ni kama lile lililotokea Tabata Kisukuru, mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo kijana aliyetajwa kwa jina la Mahamud Ally (19) kuuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja anayedaiwa kukerwa na kelele za majirani kwenye sherehe za send off.
Ilidaiwa kwamba mtu huyo hakupendezwa na kelele hizo na mara kadhaa alitoka nje na kuwaamuru watu kukaa mbali na nyumba yake, lakini hawakutaka kusikia. Alipoona watu wanakaidi, anadaiwa kwenda kuchukua bastola yake na kuanza kupiga risasi ovyo hewani, ambayo mojawapo ilienda kumkuta marehemu, ambaye alikuwa ni mpita njia.
Ochola.
“Nakumbuka siku ya tukio majira ya saa tano na nusu usiku nikiwa na wenzangu kwenye sherehe, tukijitayarisha kukusanya vifaa vya muziki ili tufunge, ndipo jirani yetu alitoka nyumbani kwake na kuanza kufyatua risasi ovyo, ya kwanza ilimpata Mahamud kichwani na nyingine bega la kushoto akawa amedondoka chini, risasi zilizidi kumiminwa na moja ikanipata shavuni,” alisema mmoja wa majeruhi, aliyejitambulisha kwa jina la Goodluck.
Kaka wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Salim Ally alisema mdogo wake alikuwa na miezi miwili tu tokea aje Dar kwa ajili ya kufanya kazi za ujenzi akitokea kwao Morogoro na siku ya tukio, alikuwa ametoka kuachana naye kumsindikiza kwenda kulala.
Katika tukio lingine, huko Tabata Mawenzi, mtu mmoja aitwaye Richard Shukuru Mwaikimba (26) naye alipigwa risasi na kufa baada ya kujaribu kumsaidia mfanyabiashara mmoja wakala wa mitandao ya fedha ya simu za mikononi, aliyevamiwa na majambazi hao wapatao watatu.
Ilidaiwa kuwa Richard na wenzake walishuku kuwepo kwa uporaji dukani kwa Tatu, hivyo wakajikusanya ili kwenda kusaidia, lakini walipokaribia, jambazi mmoja alichomoa bastola na kumpiga marehemu kabla ya wote watatu kupanda pikipiki moja na kutokomea kusikojulikana baada ya kupora fedha.
Marehemu ambaye alikuwa mwenyeji wa Bukoba, na aliyetarajiwa kuzikwa Dar wiki hii, aliwahishwa hospitalini Amana kwa ajili ya kupatiwa matibabu, lakini alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa.
Katika tukio lingine, majambazi waliokuwa na bastola, walivamia na kupora mamilioni ya fedha katika baa ya Mawela iliyopo Sinza baada ya kuwalazimisha watu kutoa fedha na simu walizokuwa nazo wakati wakinywa huku wakitazama mpira.
Mlinzi wa baa hiyo, Peter Otieno Ochola, akiamini amejificha, alijaribu kupiga simu Polisi ili kuomba msaada, lakini majambazi hao walimuona na kumpiga risasi ya kichwani iliyosababisha mauti yake.
Meneja wa baa hiyo, Steven Richad alisema kwamba majambazi hao walifika katika eneo hilo wakiwa na pikipiki nne na kufyatua risasi wakiwataka walale chini na kila mmoja atoe simu na fedha alizokuwa nazo.
“Siku hiyo watu walijaa sana kwa vile kulikuwa na mpira, walichukua vile walivyovitaka na hata huku kaunta waliingia na kupora zaidi ya shilingi milioni tatu, deki na lap top,” alisema.
“Siku hiyo watu walijaa sana kwa vile kulikuwa na mpira, walichukua vile walivyovitaka na hata huku kaunta waliingia na kupora zaidi ya shilingi milioni tatu, deki na lap top,” alisema.
Shukulu.
Kana kwamba haitoshi, amani na utulivu umeendelea kuwa tete jijini Dar es Salaam, baada ya dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Gloria Uroki, naye kuuawa kwa kupigwa risasi kichwani mchana wa Jumatatu iliyopita, baada ya majambazi hao kumshuku kuwa alikuwa akiwasiliana na polisi kuhusu tukio lao.
Tukio hilo lilitokea Kinondoni Morocco baada ya majambazi hao waliokuwa wanne, kumfuatilia mwanamke mmoja aliyekuwa amepanda daladala kutoka kusikojulikana. Mara baada ya kushuka, kijana mwingine naye alishuka kutoka katika gari hilo na kumtaka kumkabidhi mkoba huo, alipokataa alitolewa bastola na hivyo kumkabidhi.
Lakini baada ya kuporwa mkoba huo, mwanamke huyo alianza kupiga mayowe yaliyosababisha majambazi hao waliokuwa na pikipiki mbili kuanza kukimbia. Akiwa hajui hili wala lile, Gloria alikatisha barabara akizungumza kwa simu yake ya mkononi.
Wananchi mbalimbali waliozungumza na gazeti hili wameilaumu serikali kwa kushindwa kudhibiti ongezeko kubwa la silaha aina ya bastola, kwani hivi sasa ni nyingi mithili ya simu za mikononi.
“Tunajua baadhi ya silaha hizi siyo halali kwa maana wamiliki wamejipatia kwa njia za panya, lakini ni jukumu la serikali kuhakikisha kunakuwepo na udhibiti. Ongezeko hili la silaha liangaliwe, hasa sehemu za mipakani na kwenye kambi za wakimbizi,” alisema Zabanga Komu wa Mwenge, jijini Dar es Salaam.
Monday, December 29, 2014
On 11:59 PM by Unknown No comments
Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music Awards ‘AFRIMA’ nchini Nigeria.
Akizungumza na paparazi wetu Vanessa ambaye amepata tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki alisema anawashukuru mashabiki kwa kuwa wameonesha moyo wa kumpigia kura mpaka kuwashinda wasanii wengine wa Uganda na Kenya kama vile, Wahu, Size 8, Kaz (wa Kenya) na Jackie Chandiru wa Uganda.
“Nina furaha sana kwani ni mara yangu ya kwanza kupata tuzo ya kimataifa pia nimewatoa kimasomaso wasanii wenzangu wa kike, kikubwa nawashukuru mashabiki wangu kwa kunipa sapoti kubwa ya kunipigia kura, ninawaahidi kwamba nitaendelea kufanya muziki mzuri ambao wataupenda na kuwa mwanamuziki wa kimataifa zaidi,” alisema Vanessa.
Tuzo hizo zilizotolewa usiku wa Desemba 27 huko Lagos, Nigeria pia msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ alipata tuzo katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki huku msanii Peter Msechu ambaye naye alikuwa kwenye kinyang’anyiro hicho akikosa.
On 11:52 PM by Unknown No comments

Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey
kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni
7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes.
Hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana utajiri
wa dola bilioni 2.5.
Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na
anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
On 11:49 PM by Unknown No comments

MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada
ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa
miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba
aliyokuwa amelala.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,
Camillius Wambura, matukio hayo yalitokea jana mchana kwenye maeneo mawili
tofauti. Tukio moja ni la Tandale, ambako mtoto Nasma Ramadhani (8), akiwa
amelala ndani ya nyumba yao, maji ya mvua iliyokuwa ikinyesha yaliingia ndani
na kumzidi nguvu kisha kusababisha umauti wake.
Kamanda Wambura alisema mvua iliyonyesha jana saa 5:00 asubuhi
ilinyesha kwa wingi, hivyo kuleta madhara ya kujaa maji kwenye barabara kadhaa
na pia kuleta maafa hayo ya vifo.
Katika tukio la pili, lililotokea Mwananyamala, mvua hiyo
ilisababisha kifo cha ajuza, Habiba Mwishehe (80) aliyeangukiwa kichwani na
ukuta wa nyumba yake na kusababisha mauti yake.
Madhara mengine ni maji kujaa kwenye maeneo mbalimbali, ikiwemo
eneo la Mikocheni zilipo ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa
Kinondoni Kaskazini, jirani na Hospitali ya TMJ, hivyo kuleta usumbufu kwa
wananchi wa eneo hilo na magari.
Kamanda Wambura alitoa mwito kwa wananchi kuwa makini na
kuchukua tahadhari hususan kwa watoto, ambao hawawezi kujisaidia inapotokea
mvua kubwa kama hiyo, yenye kuhatarisha maisha.
“Kuna tabia ya kuwatuma watoto wadogo dukani wakati mvua
inanyesha, wazazi na walezi hii sio sawa,” alisema Wambura. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala jijini
humo, Mary Nzuki alisema hali ni shwari na hakuna tukio lililoripotiwa kwa muda
huo.
Aliwataka wananchi waishio mabondeni, kuondoka mara moja badala
ya kusubiri maafa. “Nitoe rai kwa wakazi waishio mabondeni, waondoke
mara moja wasisubiri kuondolewa, na mvua hizi hazina hodi na hatujui zitanyesha
kwa kiasi gani na muda gani, ni vyema wachukue tahadhari kwanza, maeneo hayo
sio salama,” alisema Nzuki.
Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya
Kihenya alisema hakuna tukio la maafa lililoripotiwa hadi muda huo na kuwataka
wananchi kuchukua tahadhari hasa kwa kipindi hichi cha mvua.
Hali ilivyokuwa
Mvua hiyo ilileta kizaazaa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri na wakazi wote wa jiji baada ya maji kujaa barabarani na kushindwa kufanya shughuli zao kwa wakati.
Mvua hiyo ilileta kizaazaa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri na wakazi wote wa jiji baada ya maji kujaa barabarani na kushindwa kufanya shughuli zao kwa wakati.
Mvua ilinyesha kwa muda wa saa mbili na iliambatana na radi na
upepo na kusababisha maeneo ya katikati ya jiji, barabara zake kujaa maji, hali
iliyosababisha usafiri kuwa mgumu.
Aidha, mvua hiyo ilisababisha wakazi wa jiji kusimamisha
biashara zao kwa muda. Katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed kuanzia maeneo ya
Mnazi Mmoja, Akiba hadi Posta barabara hizo zilijaa maji, hali iliyosababisha
madereva wa magari madogo kushindwa kupita na kuamua kutafuta njia nyingine
huku magari ya Usafiri wa Dar es Salaam (UDA) pekee ndio yalimudu adha hizo.
Pia katika maeneo ya Posta kwenye kituo cha mafuta ya Total,
karibu na Benki ya CRDB, kulijaa maji hivyo wafanyabiashara wa kituo hicho
kushindwa kutoa huduma ya mafuta kutokana na kutokuwepo kwa magari yanayoingia
katika kituo hicho.
Baadhi ya wakazi wa jiji, walijawa na hofu kwamba kutokana na
mvua kubwa iliyonyesha, itaweza kusababisha madhara kwa watu waliokataa kuhama
mabondeni.
Katika eneo la Posta Mpya, usafiri ulikuwa wa shida, hali
iliyosababisha watu kujaa kwenye kituo cha daladala kwasababu magari mengi
yalikuwa hayafiki katika kituo hicho.
Baadhi ya watu walilazimika kuvua viatu na kukanyaga maji machafu,
yaliyokuwa yanapita barabarani huku wakilalamikia ubovu wa miundombinu na
kutokuwepo kwa mifereji.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2014
(168)
-
▼
December
(168)
- BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MREMBO RAYUU AIBUKA ...
- Polisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Bia...
- Nimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausi...
- Samantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya...
- PHOTO’S: HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA DIAMOND NA KUN...
- SIMBA YAFUKUZA MAKOCHA
- DIAMOND PLATNUMZ ATUA RWANDA KWA SHANGWE
- WAIMBA INJILI WANA NINI?
- MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO
- BASTOLA TISHIO DAR!
- VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE
- Bilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke ...
- Mvua Yaua Jijini Dar.....Mtoto Asombwa na Maji aki...
- Binti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo
- Mgombea urais atabiriwa kifo.....Yadaiwa Atafariki...
- Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mah...
- Hili ni Fundisho Kwa Wanaume Wanaopenda Kutongoza ...
- MAKAVU LIVE!!!:: UTAMU WA MUA UKIKUTANA NA KIFUNDO...
- Wajua Jinsi ya Kumdhibiti Mpenzi Anayepiga Mizinga?
- PICHA ZA UTAMU ZA DENTI WA CHUO KIKUU CHA UDOM ZAN...
- Bi dada... Utafanya nini? Mmeo Anatembea na binti ...
- Waziri Nyalandu atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania
- Kashfa ya Escrow ndo sababu kuu ya Anguko la CCM-W...
- Tibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Saka...
- Mwenyekiti wa CHADEMA Atimuliwa nchini kwa madai k...
- UCHAWI:BIBI KIZEE AKUTWA KAANGUKA NJE YA KANISA AS...
- TAZAMA JINSI SIKUKUU YA KRISMAS INAVYOENDELEA KATI...
- BAADA YA KIMYA KIREFU MSANII 'Q CHIEF' SASA KUACHA...
- LAANA YA SIKU : :VIJANA WAFANYA USHENZI KUPITILIZA
- LAANA..!!! BOFYA UONEE VIZURII DADA HUYU ALIVYOAMU...
- PICHA ZA UCHI ZA MSANII MAARUFU WA KIKE AKILIWA TI...
- ZAIDI YA LAANA: HUU NDIOUCHAFU ULIOFANYIKA JANA KW...
- RAIS OBAMA AITWA TUMBILI NA KOREA KASKAZINI!
- DAVINA:STEVE NYERERE NI MTU POA ILA ANA VIMATATIZO...
- DIAMOND PLATNUMZ HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAU...
- KAKA NA DADA WANASWA LAIVU WAKIFANYA MAPENZI,WAFAN...
- MAJANGA !!! MKE WA MTU AWEKA PICHA CHAFU KATIKA UK...
- WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
- Hizi Ndizo Sifa Za Mtu Anayefaa Kuwa Rais Ajaye ,W...
- Dunia Imeisha Tizama Picha Za Hawa Wadada Walizopo...
- DAVIDO ALA DENDA NA SHABIKI AKIWA STEJINI!!!
- DUNIA IMEKWISHA CHEKI PICHA YA MCHUMBA WA MTU AKIN...
- AFARIKI DUNIA BAAADA YA KULIPULIWA NA BOMU ALILOTA...
- HILI NI FUNDISHO KWA WAKE ZA MARAISI AFRIKA!!!HUYU...
- LIPUMBA NA ZITTO KABWE WAPANGA KUWASHA MOTO WA ESC...
- HIVI NDIVYO TIBAIJUKA ALIVYOTEMA CHECHE HUKO JIMBO...
- HIVI UNAFAHAMU KUWA LIPUMBA ALISHAWAHI KUWA MSAIDI...
- BUBU Afanyiwa Unyama wa Kutisha......Wanaume Watan...
- Hausiboi Aliyelawiti Mtoto wa Miaka 6 Ahukumiwa Ki...
- BAKWATA Yasisitiza kuwa Maamuzi ya Rais Kikwete ku...
- Matokeo Mabaya ya CCM Singida: Nyalandu Abebeshwa ...
- HII NI NOMA..!! JIONEE PICHA 15 ZA HUYU MZUNGU ALI...
- JINSI YA KUJIZUIA USIKOJOE MAPEMA NA HIVYO KUSHIND...
- Krismasi ni Escrow kila kona
- Vijana Watatu Wakamatwa Wakijaribu Kuiba Sanamu ya...
- Rais Kikwete atakiwa kuwachukulia hatua Mawaziri W...
- CCM yaongoza matokeo ya jumla serikali za mitaa
- Ukawa Mkilifanya Hili, 2015 Mnashinda kwa Zaidi ya...
- Ray C: Nina uhakika Alikiba Akipata Support ya Dia...
- Panapo Fuka Moshi Kuna Moto..Habari za Millard Ayo...
- Bifu la Davido na Wizkid Limeisha, La Ally Kiba na...
- Sserunkuma atupia mbili, aonyesha cheche Zenji
- SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIK...
- VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KO...
- Waziri Muhongo aanza Ziara ya Siku 6 Mkoani Mara k...
- MADAWA YA KULEVYA HATARI ZAIDI KWA WASANII
- KUNDI LILILOPATA PIGO ZAIDI 2012-14
- SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
- R.I.P WASANII WETU! KINACHOWAUA KWA KASI CHAJULIKANA
- FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
- BALAA LA KRISMASIMREMBO APOTEZA FAHAMU
- DUH!! JE WAJUA KILICHOMPATA MENEJA WA CLOUDS JUU Y...
- AIBU YA MWAKA!!!!!! TAZAMA ALICHOFANYIWA DADA HUYU...
- PICHA ZA WATU WAZIMA WAKINGONOKA HADHARANI HII NI ...
- TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA M...
- JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ........
- Diamond Aeleza Demu Aliemtungia Wimbo Wake Mpya Wa...
- Ona Mama Diamond Jinsi Anavoonekana Kuwa Chanzo Ch...
- FUMANIZI!!! PATA KUONA ALICHOFANYIWA DADA HUYU BAA...
- MJUE MKE MTARAJIWA WA MASANJA MKANDAMIZAJI!, IONE ...
- WANACHUO WANAOPIGA PICHA ZA UTUPU WAZIDI KUONGEZEK...
- Baadhi ya Picha za Wema na Van Vicker Wakiwa Katik...
- Nimeamini, Mabinti wa Kichaga Hawajui Mapenzi Hata...
- Wavulana Ma-handsome Hawana Lolote Kitandani..Kazi...
- Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra
- Rais Kikwete Akutana na Msanii Diamond Platnumz Ik...
- JOKATE: SIJAWAHI KUROGA ILI NIFANIKIWE
- WEWE TIBAIJUKA! JEMBE LISILOLIMA LINA FAIDA GANI?
- DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI!
- Wema Sepetu Apandishwa Kizimbani
- Mume Ajinyonga Ukweni baada ya Mkewe Kumkataa
- Baada ya Kupotea Kwa Muda Mrefu Agness Masogange A...
- Headmistress Caught Being Banged By Her Watchman I...
- Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea K...
- Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014
- Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass
- Diamond: Aliyenifundisha Kuongea Kiingereza ni Pen...
- CHADEMA Watoa Tahadhari kwa Rais kuhusu Kuwatetea ...
- MTOTO WA JACKIE CHAN ASHITAKIWA KWA DAWA ZA KULEVYA
- MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE ...
-
▼
December
(168)