Thursday, January 1, 2015
On 12:31 PM by Unknown in Download No comments

Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji
Fredrick Werema amepokelewa kijijini kwake baada ya
kujiuzulu nafasi hiyo hivi karibuni.
Jaji Werema amepokelewa kijijini kwake baada
ya kujiuzulu nafasi hiyo hivi karibuni
huku wananchi wa kijiji hicho
wakiwataka watuhumiwa wote katika sakata la
akaunti ya Tegeta Escrow kujiuzulu nafasi zao
ili kulinusuru taifa kuingia katika mgawanyiko na
machafuko ambayo wamedai yanaweza kuhatarisha amani.
Wakizungumza baada ya kumpokea
Jaji Werema muda mfupi baada ya
kuwasili katika kijiji hicho cha Kongoto
tarafa ya Kiagata mkoani Mara, wananchi
hao wamempongeza kiongozi huyo kwa kuchukua
hatua ya kujiuzulu nafasi hiyo ya
uanasheria mkuu wa serikali.
Wananchi hao pia wamesema ni jambo la
busara kwa kiongozi wa umma kuchukua
uamuzi kama huo katika kulinusuru taifa
lake hasa baada ya kutuhumiwa katika
sakata hilo.
Kwa upande wake Jaji Fredirick
werema, akizungumza na wananchi hao amesema hawezi
kuteteleka kwa uamuzi wake wa kujiuzulu
huku akisema ni jambo la busara
kama kiongozi wa umma unapohusishwa na
tuhuma zozote kukubali kwa hiari yako
kuwajibika ili kulinda maslahi ya taifa.
Kuhusu chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)
kushinda katika kijiji chake kwa nafasi ya
uenyekiti wakihusisha ni kutokana na sakata la
Escrow, Jaji Werema amesema hatua hiyo imetokana na
wananchi kuchoshwa na baadhi ya viongozi wa
CCM katika eneo hilo hivyo kuomba wananchi kumpa
kiongozi huyo ushirikiano katika kutimiza wajibu wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2015
(18)
-
▼
January
(18)
- NDOA YA LULU YABUMA!
- DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI...
- MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATO...
- URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
- WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
- "Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina d...
- Mke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
- Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili ...
- Aunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
- Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo y...
- DAH NENO MOJA KWA HUYU MWANADADA>>>HIVI ATAKUWA AN...
- HUYU NDIO MWANA MAMA MWENYE MAZIWA MAKUBWA ZAIDI H...
- Elimu ya Sekondari itakuwa BURE kuanzia 2016 - Jak...
- Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
- TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA K...
- AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USI...
- USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘USIFOSI’ M...
- ROSE MHANDO ATUMBUIZA NA KITUMBO
-
▼
January
(18)
0 comments:
Post a Comment