Saturday, January 3, 2015
On 2:39 AM by Unknown in Download No comments

Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa
kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.
Katika mahojiano maalum ya hivi karibuni kupitia Kipindi cha Mtu
Kati cha Runinga ya GlobalTV Online, Diamond alitoa madai kuwa, amekuwa akihaha
kupata mtoto.
Alisema kwamba, katika harakati zake hizo, warembo ambao
alishatoka nao kimapenzi akiwemo Jokate walikuwa wakimchezea mchezo mchafu ili
wasimzalie kwa kuwa alikuwa akiwaambia anahitaji mtoto kwa udi na uvumba.
Hata hivyo, madai hayo ya Diamond yalizua mzozo mkubwa kwenye
mitandao ya kijamii huku warembo hao wakipigwa za uso hivyo kutafuta namna ya
kujitetea.“Hao akina…(wanatajwa warembo wa Diamond) watakuwa wana matatizo ya
uzazi siyo bure.
“Ndiyo maana Dangote (Diamond) ameona bora aende kwa Zari (msanii
wa Uganda, Zarinah Hassan) ambaye tayari ana mwanga wa kuzaa (ana watoto
watatu),” ilisomeka sehemu
ya maoni juu ya madai hayo ya Diamond kwenye Mtandao wa Instagram.
Diamond alifunguka: “Jokate na Wema (Sepetu) nilitamani
sana wanizalie lakini walikuwa wakichengachenga, mambo mengine ujue si ya
kuzungumza lakini inauma.”
Kufuatia tuhuma hizo nzito huku kukiwa na madai pia, kwamba
Jokate aliwahi kupigwa mimba ‘akaipanchi’, mwanadada huyo alipotafutwa na
mwandishi wetu kujibu ‘shitaka’ linalomkabili alianza kwa kumshangaa staa huyo
wa Ngoma ya Ntampata Wapi inayokimbiza kwa sasa.
Jokate alisema anamshangaa Diamond kuyazungumza maneno hayo
hadharani na inaonesha asivyokuwa na akili timamu au ambayo haijakomaa.
“Diamond atuache, kila siku anatuzungumzia, hana akili timamu.
“Inadhihirisha kweli hana akili kwa kuwa mtu mwenye akili zake
timamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari na kueleza hayo aliyoyasema,” alisema Jokate akionesha kukasirishwa na
maneno ya Diamond.
Ukiacha Jokate na Wema ambaye naye aliwekwa kwenye kapu moja la
kuchenga kumzalia, hakutaka kumjibu Diamond kwa kuwa hataki malumbano au makuu
na mtu.
Pia jamaa huyo alimzungumzia aliyekuwa mwandani wake mwingine,
Penniel Mwingilwa ‘Penny’ kuwa yeye alitoa mimba zake mbili kwa visingio
tofauti.
Katika majibu yake, Penny alisema kuwa Diamond awe mkweli na aseme tatizo lake kwani anavyojua yeye hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.
Chanzo: Global publisher.
Katika majibu yake, Penny alisema kuwa Diamond awe mkweli na aseme tatizo lake kwani anavyojua yeye hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.
Chanzo: Global publisher.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2015
(18)
-
▼
January
(18)
- NDOA YA LULU YABUMA!
- DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI...
- MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATO...
- URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
- WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
- "Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina d...
- Mke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
- Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili ...
- Aunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
- Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo y...
- DAH NENO MOJA KWA HUYU MWANADADA>>>HIVI ATAKUWA AN...
- HUYU NDIO MWANA MAMA MWENYE MAZIWA MAKUBWA ZAIDI H...
- Elimu ya Sekondari itakuwa BURE kuanzia 2016 - Jak...
- Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
- TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA K...
- AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USI...
- USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘USIFOSI’ M...
- ROSE MHANDO ATUMBUIZA NA KITUMBO
-
▼
January
(18)
0 comments:
Post a Comment