Saturday, January 3, 2015
On 2:43 AM by Unknown in Download No comments

Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bado ana dhamira ya dhati ya
kumsaidia rais Jakaya Kikwete katika uongozi wa taifa la Tanzania na kuongeza
kasi ya kuwahudumia wananchi, ili waweze kujiletea maendeleo ya kijamii na
kiuchumi.
Waziri Mkuu aliyasema hayo wilayani mpanda mkoani Katavi kwenye
sherehe za mkesha wa kuuaga mwaka 2014 na kuupokea mwaka mpya wa 2015.
Alisema baada ya kumalizika kwa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow lililokuwa linawatuhumu viongozi mbalimbali, amesema yeye alikuwa na imani kwamba tuhuma hizo zisingemgusa kwa sababu katika uongozi wake amekuwa akizingatia misingi ya uadilifu na utawala bora.
Ameongeza kuwa, yeye binafsi amekuwa akipiga vita vitendo vya rushwa na kamwe hajawahi kupokea wala kutoa rushwa.
Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Katavi Dk Ibrahimu Msengi akiongea wakati wa sherehe hizo za kuupokea mwaka mpya, alisema mkoa wa Katavi umepiga hatua kubwa kimaendeleo baada ya kutekeleza maagizo mengi ya serikali ikiwemo kuhimiza masuala ya kilimo, ufugaji, uvuvi, elimu na ujenzi wa nyumba bora kama njia kuu za wananchi kujiletea maendeleo.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2015
(18)
-
▼
January
(18)
- NDOA YA LULU YABUMA!
- DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI...
- MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATO...
- URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
- WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
- "Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina d...
- Mke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
- Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili ...
- Aunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
- Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo y...
- DAH NENO MOJA KWA HUYU MWANADADA>>>HIVI ATAKUWA AN...
- HUYU NDIO MWANA MAMA MWENYE MAZIWA MAKUBWA ZAIDI H...
- Elimu ya Sekondari itakuwa BURE kuanzia 2016 - Jak...
- Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
- TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA K...
- AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USI...
- USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘USIFOSI’ M...
- ROSE MHANDO ATUMBUIZA NA KITUMBO
-
▼
January
(18)
0 comments:
Post a Comment