Saturday, January 3, 2015
On 2:44 AM by Unknown in Download No comments

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai
kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea
aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond,
alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na
mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya
Bongo.
“Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia, alianza
ku-like picha zangu, nikamwambia Dai (Diamond), akaniambia achana naye, baadaye
tulibadilishana namba, tukawa tunawasiliana.
“Ilipofika wakati amenitaka tufanye kazi pamoja, nilipomwambia
Diamond ndiyo matatizo yalipoanzia hadi kufikia hatua ya kuachana,” aliweka nukta Wema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Translate
Popular Posts
-
Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.H...
-
Utandawazi utawaabisha wengi kwani hizi simu zetu ukizubaa kidogo mtu anakupiga picha hata kama hujadhamiria kufanya hivi.
-
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga...
-
Hebu niambie...umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? ...
-
Wanachuo wazidi kuwa mfano mbaya licha kuonekana wasomi na ndio tegemeo kwa taifa la kesho lakini cha ajabu wanazidi kufanya madudu badal...
-
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika ...
-
Kweli dunia inamambo watu kadhaa wamekamatwa na kamera zetu wkingonoka bila uoga wowote tena hadharani hebu ona picha hapa
-
Hivi Majuzi mke wa Mchungaji mmoja amekamatwa laivu akingonoka vichakani umbali kidogo kutoka katika nyumbani kwake Mke wa Mchungaji a...
-
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu ...
Blog Archive
-
▼
2015
(18)
-
▼
January
(18)
- NDOA YA LULU YABUMA!
- DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI...
- MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATO...
- URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
- WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
- "Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina d...
- Mke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
- Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili ...
- Aunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
- Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo y...
- DAH NENO MOJA KWA HUYU MWANADADA>>>HIVI ATAKUWA AN...
- HUYU NDIO MWANA MAMA MWENYE MAZIWA MAKUBWA ZAIDI H...
- Elimu ya Sekondari itakuwa BURE kuanzia 2016 - Jak...
- Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
- TAMBUA VIMBE MBALIMBALI KWA MWANAMKE NA JINSI YA K...
- AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USI...
- USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘USIFOSI’ M...
- ROSE MHANDO ATUMBUIZA NA KITUMBO
-
▼
January
(18)
0 comments:
Post a Comment